katika dini zetu,nani ni WAPROTESTANTI?
WAROMANI KATOLIKI SIYO WAPROTESTANTI. WALOKOLE PIA SIYO WAPROTESTANTI.
Wapendwa wasomaji wangu, karibuni tena katika somo tajwa hapo juu👆🏻👆🏻.
Roman catholic church.👇🏻👇🏻
Roma ni mji mkuu wa Italy
Catholic ni popote
Church ni kanisa
Kwahiyo hili ni kanisa la mji mkuu wa roma popote.
Historia inaonyesha hawa warumi walikuwa waabudu miungu, kama jua, nyota, wafu, mwezi, sanamu nk.
Kanisa katika kipindi kile mitume wa KRISTO wamekufa, wamebaki wafuasi wao, hawa waabudu sanamu waliwaua sana Wakristo kwasababu walikataa kuikana imani yao. Shetani alifurahi sana maana warumi walikuwa ni mkono wa Shetani wa kuume kama ilivyo leo. WAKRISTO hawa japo waliuawa kikatili, hawakuikana imani yao, waliendelea kumtii MUNGU na kuzishika AMRI zake ikiwemo sabato ya BIBLIA . Shetani na wafuasi wake waroma alishangaa kwanini hawa Wakristo hawaikani imani?? Na kadri tunavyowaua ndivyo wengine wengi waaminifu wanaongezeka?? Shetani akawapa shauri waroma wapagani waabudu mizimu hawa kuwa msiwaue Wakristo bali sasa jifanyeni nanyi kuwa mmeongoka kuwa WAKRISTO kumbe mkiwa ni waabudu miungu wale wale.
Basi Shetani akawaongoza hawa waabudu sanamu kukubali sehemu ya imani ya kikristo. Wakadai wanaamini kifo cha YESU na kufufuka na kukubali kuungana na wafuasi wa YESU bila kuongoka mioyo. Hii ilikuwa ni hatari kwa kanisa. Hawa waabudu sanamu wakaingia ktk kanisa la kikristo na misanamu yao na hapo ndipo upagani huu wa kikatoliki ulianza kujiita kwa jina la KRISTO wakati ni ushetani kabisa.
Nabii asema hivi : kundi kubwa la wapagani waabudu sanamu walishikilia bendera nyeusi na juu yake kulikuwa na michoro ya jua,mwezi na nyota, watu wa kundi hili walionekana wakali na wenye hasira. Upapa na wafuasi wake makadinali, maaskofu, mapadri na makasisi na wengineo, wana hasira za kumwaga damu. Usiwaone tu wamevaa kanzu nyeupe. Rumi haibadiliki. Roma inasema yenyewe haikosei na iko juu ya BIBLIA na inaweza kumrekebisha MUNGU katika maagizo yake. Je huu siyo upagani na mawazo ya Shetani ???
Waroma siyo waprotestanti kabisa bali ni mkono wa kuume wa Shetani . Yapo mambo mengi sana ndani ya roma ambayo ni makufuru kwa MUNGU BABA ALIYE JUU.
Kwahiyo enyi waroma, ninyi siyo waprotestanti, bali ni kundi linalopingana na MUNGU duniani pamoja na watu wake wazishikao AMRI 10 za MUNGU na imani ya YESU .
Kanisa la Roma ndiye adui mkuu wa MUNGU duniani.
Au mnataka niongeze volume 🤔🤔🤔
#WALOKOLE SIYO #WAPROTESTANTI👇🏻👇🏻
Ulokole siyo uprotestanti. Ulokole ni dini ya wachawi iliyoanzishwa katika milima ya huko marekani. Ibada zao walizifanyia milimani huko kulingana na tabia za kichawi. Wachawi wanapenda miujiza na hupenda kufanya miujiza ya kuaminisha watu. Ulokole ni umizimu na kwa kawaida umizimu hukataa biblia na kudharau Ukristo . Zamani watu waliulaumu huu umizimu na kuupinga lakini hawakusikilizwa. Kwasasa ulokole-umizimu umegeuza mfumo wake na wengi wanajiita kuwa ni Wakristo wa kilokole wakidai kuwa hawapingani na Biblia na huimiza jamii kuwa wao ndiyo wana imani halisi ya kikristo. Viongozi wao wa makanisa hujihusisha na umizimu, ndo sababu shuhuda zao ni za kuzimu tuuuu kuzimuni nk. Ulokole ulitabiriwa toka mwaka 1850 na leo hii umeenea dunia nzima, wanaojiunga humo humfurahisha shetani kwani kila siku Shetani hupata wafuasi wengi wa kwenda naye JEHANAM.
Katika ibada zao hakuna utulivu, ni vilio kila siku na kusaga meno. Hizi ni tabia za umizimu, kelele, mayowe na kukemea mapepo kila ibada zao. Shetani/mapepo hujishughulisha sana na wale ambao wamepatana nao. Na kwa hakika Shetani hawezi kumtoa Shetani mwenzake, hayo yanayofanyika huko ni madanganyo na kwa kuwa wameikataa kweli ya MUNGU , basi MUNGU ameruhusu nguvu ya upotevu ili wauamini uongo kisha waangamizwe milele..
Ulokole ni uchawi wa kisasa. Ni ngome nzuri ya ibilisi kitengo cha udanganyifu kupitia miujiza ya uongo na maigizo.
Hivyo walokole siyo waprotestanti, bali ni wamizimu hakika. Hata mkijiita Mliookoka! Ninyi ni wamizimu tu. Hakuna aliyeokoka halafu anapiga makelele kila ibada huku akikemea mapepo. Hamjaokoka ng'o! Bado tupo duniani kwenye Pambano Kuu na hatujashinda bado tunaendelea kupambana , halafu nyie imani yenu iwaambie eti mmeokoka, hilo halipo na ni udanganyifu wa Shetani .
Enyi walokole! Niongeze volume?🤔
Waprotestanti waliobaki leo ni waadventista wasabato tu, wengine wote wamesharudi kwa mama yao mzazi roman Catholic church .
Watunza sabato ndio wanaotazamwa kwa jicho la husuda na makanisa ya jumapili. Watunza sabato ndio bado wako kinyume na roma ya kidini. Watunza sabato hawatashusha silaha chini hadi YESU aonekane mawinguni. Na kama wapo ambao tayari wameshashusha silaha chini na kuinuwa mikono juu, nawasihi zirudieni silaha zenu za imani na muiinue bendera nyeupe ya YESU juu ili ionekane tena.
Tuko kinyume na ulimwengu .
Ni mimi mjoli mwenzenu:Pambano Ibrahim Chindema .
Post a Comment