TULIA ACKSON; KALETE USHAHIDI WA WIZI W KURA
Mbunge wa viti maalumu, Felister Njau amepewa siku saba kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020.
Felister ametakiwa kupeleka uthibitisho huo na naibu Spika, Dk Tulia Ackson leo Jumatano Februari 3, 2021 kutokana na yake hiyo aliyoitoa bungeni wakati akichangia hotuba ya Rais John Magufuli ya ufunguzi wa Bunge la 12
#BinagoUPDATES
Post a Comment