Advertisement

Responsive Advertisement

RASMI KIM POULSEN ATEULIWA KUWA KOCHA WA TAIFA STARS

POULSEN KOCHA MPYA STARS: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Kim Poulsen raia wa Denmark kuwa kocha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars)

Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, Poulsen amepewa kandarasi ya miaka mitatu kuifundisha Stars ambayo kwa sasa ipo katika mchakamchaka wa wa kutafuta nafasi ya kucheza fainali za AFCON na Kombe la Dunia ambazo zote zitafanyika mwakani nchini Cameroon na Qatar.

#KaribuPoulsen #TaifaStars #Tanzania
#BinagoUPDATES

Post a Comment

0 Comments