Pendo Nkone Asema ukweli

Kutoka Kwa Muimbaji Wa Gospel Tanzania @nkoneupendo BWANA YESU KRISTO ASIFIWEEE! LEO NIMEAMKA TUU NINA HUZUNI SANA .WIVU WA KAZI YA MUNGU UNANILA ROHONI NIMEWAZAAAAA.HIVI NI KWA NINI  WAIMBAJI,MAPRODUCER WAANDAAJI WA MUSIC,WACHUNGAJI, MITUME NA MANABII NA WATUMISHI WOOTE MADHABAHUNI DHAMBI YA UZINZI NA UASHERATI INATESA WATU????😭😭😭 YAANI NI MAANGUKO TUUUUU UCHAFU UCHAFUUUU MADHABAHUNIIIII???😭😭😭😭😭 EEH MUNGU TUNAOMBA UTUSAMEHE TUNATUBUUUUU SISI NI WENYE DHAMBI UTUREHEMU BABA😭😭😭.SAFISHA KANISA LAKO YESU TUNAOMBA UTAKASOOO MAANA HUKUMU ITAANZIA MADHABAHUNIII. NDOA ZETU WATUMISHI ZINAVUNJIKA MCHANA KWEUPEEEEE NA TUNAOLEWA TENA NA KUOA TENA NA MWENZIO YUKO HAIII.TUNAWAFUNDISHA NINI WASIOMJUA YESU???NISAIDIE NISIJE KUKATALIWA KUINGIA UZIMANI MIMIIIII KAZI YANGU YOOTE NILIYOFANYA YA KUIMBA NA KUHUBIRI IKAWA BUREEE😭😭😭😭😭😭.TUNASOMA BIBLIA LAKINI NI KAMA TUNASOMA GAZETI.YAANI TUNAJISAHAULISHA AMRI ZA MUNGU.YAANI LEOOOO WIVU WA NYUMBA YA BWANA UNANILAAAA😭😭😭😭😭.HIVI HAYA YOOTE YANASABABISHWA NA NINI? NI KUKAA MBALI NA MUNGU AU NININII? HIVI NINI HII JAMANIII?? TUNAOMBA USHAURI JAMANIII TUPENI USHAURIIIIII WATU WA MUNGU MSITUACHE BADO TUNAHITAJI USHAURIII.TUNAJIFANYA WAJUAJI TUUU LAKINI BADO TUNAHITAJI USHAURIIII.NAOMBA WAZEE WETU WATUMISHI WA MUNGU MLIOKOMAA MTUSAIDIEEEE TUMEICHAFUA MADHABAHU YA MUNGU.MSITUACHE TUPENI USHAURI TUMEPOTEAAAAA😭😭😭😭.WIVU WA NYUMBA YA BWANA UNANILA LEOOOOO😭😭😭😭😭😭😭😭.UUUWIIIIIIIIIIIIIIIII NASIKIA KULIAAAAAA NAILILIA KAZI YA MUNGU TUNAVYOIHARIBUUUUUU.NAILILIA NAFSI YANGUUU NISIFIE DHAMBINIIIII NIKAIKOSA MBINGU😭😭😭😭😭😭

No comments