MAMLAKA NCHINI MOROCCO ZIMERIPOTI KUKATAA KUWAPA VISA TIMU YA KAIZER CHIEFS

• Taarifa Kutoka Nchini Morocco, zinaripoti Kuwa Mamlaka za Nchini hiyo zimepanga kukataa  kutoa visa kwa Klabu ya Kaizer Chiefs ambayo itasafiri kwenda Morocco wiki ijayo kwa mchezo wao wa Kwanza wa CAF Champions League Dhidi ya Wenyeji wao Wydad Casablanca.

• Sababu kubwa iliyotajwa kutokea kwa yote hayo ni kuzuka kwa aina mpya ya kirusi Cha Corona nchini Afrika Kusini.
KaizerChiefs TotalCAFCL WydadCasablanca CAFCL
#BinagoUPDATES

No comments