SULEIMAN JAFO AAGIZA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME ASIMAMISHWE

#HABARI Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ameagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, Jumanne Yassin asimamishwe kazi kupisha uchunguzi baada ya halmashauri hiyo kusafirisha ya mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Emanuel Joseph ukiwa juu ya gari."
#BinagoUPDATES

No comments