"mimi ndiye Bwana wa Sabato" Yesu
🤔🤔🤔🤔🤔🤔 *nalikuwa katika ROHO SIKU YA BWANA ...........* UFUNUO 1:10 👈👈👆👆👆👆👆 kwa andiko hili linaonyesha kuwa *MUNGU WA MBINGU NA NCHI* ANASIKU YAKE Takatifu lakini pia hata ukisoma fungu hili isaya 58:13,14 """"""kama ukigeuza mguu wako usihalifu sabato, *usifanye anasa yako siku ya utakatifu wangu*, ukiita sabato siku ya furaha, na siku takatifu ya BWANA yenye heshima.............."""" 👈👈👆👆 kwa fungu hili inaonesha kuwa siku ya sabato inamaana kubwa sana katika ulimwengu wa ROHO lakini kibinadam siku zote ni sawa tu. kwa kuwa MUNGU ni ROHO basi wamwabuduo katika ROHO na kweli wataelewa umuhimu wa sabato yake lakini hata YESU MWENYEWE alisema """ *mwana wa adam (YESU) ndiye BWANA wa sabato*""" malko 2:28 kwa hiyo kama mwana wa hamisi (juma) ndiye bwana wa harima au mwana wa john (kefa) ndiye bwana wa shamba hili. kwahiyo kama juma mwana wa hamisi alivyo mmiliki wa harima au kama kefa mwana wa john alivyo mmiliki wa shamba basi *vivyo hivyo YESU KRISTO NDIYE MWENYE HIYO SIKU YAKE TAKATIFU YA SABATO* kwa hiyo anatusihi *ikumbuke siku ya sabato na uitakase* kutoka 20:8 pia mitume kwa heshima kuu waliitunza hiyo siku ya BWANA matendo ya mitume 16:13 *hata siku ya sabato tukatoka nje ya lango, tukaenda kando ya mto, ambapo tukadhani ya kuwa pana mahali pa kusalia; tukaketi tukasema na wanawake waliokutana pale*
kwa hiyo mpendwa kila ikifika siku ya sabato basi tafuta mahali pa kusalia (kufanyia ibada siku yote)
.
*tafadhali share kwa wengine wengi hapa chini ktk mitandao nao wakumbushwe kuhusu hii siku ya Bwana*
.
*ubalikiwe sana unapo fanya bidii kuitii na kuikumbuka siku takatifu ya Bwana*
🙏
Post a Comment