MICHAEL JACKSON ALIPANGA KUISHI MIAKA 150 LAKINI ILISHINDIKANA

FAHAMU;- Mfalme wa pop duniani Michael Jackson  alipanga mipango ili aweze kuishi miaka 150 hapa duniani

Baadhi ya mipango hiyo ni 

Aliajiri madaktari 12 ambao walikuwa wanampima kila siku kuanzia nywele hadi kucha za vidole vya miguu
Chakula chake kila siku kilikuwa kinaenda fanyiwa majaribio na kupimwa kabla ya kula"

Aliajiri watu 15 ambao walikuwa wanampangia ratiba ya mazoezi na kumsimamia namna bora ya kufanya mazoezi"

Kitanda alichokuwa analalia kilikuwa na teknolojia ya kuthibiti oxygen"

Waliandaliwa watu maalum kwa ajili ya kumtolea vitu ndani ya miili yao kama vikiitajika kwa mfano figo .....na watu hao walikuwa wakilindwa na kuhifadhiwa na yeye"

Hizo zote zilikuwa jitihada na mipango ya kuishi miaka 150"

Mwaka 2009 tar 25 mwezi wa 6 ...moyo wake ulisimama ghafla kufanya kazi .....madaktari wake 12 walishindwa kumtibu"

Wakaongezwa madaktari wengine mabingwa kutoka California na Los Angels lakini pia walishindwa"

Mtu ambaye kila hatua aliyokuwa anaipiga iliongozana na jopo la madaktari bingwa 1."
#JEWAJUA?! #BinagoUPDATES

No comments