KALA JEREMIAH AKILI YEYE NI MDAU MKUBWA WA BSS

@kalajeremiah - "Niseme Ukweli Mimi ni Mdau Mkubwa wa MAshindano Kwasababu Nimetokea kwenyeBSS lakini Kuna Shida Kubwa Sana Wanaoshinda Kufanya Vizuri kwenye Ulimwengu halisi wa Sanaa, Kuna tofauti kati ya Kushindana na Kucreate."
#BinagoUPDATES

No comments