Riziki Mosha (23) mkazi wa mkoani Arusha amekamatwa na Shirika la umeme nchini (Tanesco) Mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za kuiba waya katika Transfoma iliyopo kijiji cha Mandaka Mnono Wilaya ya Moshi.
Tukio hilo limetokea jana Jumatano Januari 20, 2021 saa 12:00 asubuhi.
#BinagoUPDATES
0 Comments