MARUFUKU MIKESHA YA USIKU

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MKESHA WA MWAKA MPYA MAENEO YA WAZI;"

Wizara ya mambo ya Ndani ya Nchi imepiga marufuku Makongamano au Mikutano ya mkesha wa mwaka mpya Katika maeneo ya wazi siku ya Desemba 31,2020"

Waziri George Simbachawene amesema licha ya makongamnano na mikutano hiyo kuleta mshikamano na Umoja kumjua Mungu lakini hayataruhusiwa katika maeneo ya wazi kutokana na changamoto za Kiusalama"

Mikusanyiko hiyo ifanyike katika nyumba za ibada na mwisho iwe saa sita na nusu - Simbachawene"

Waziri ameonya mtu/Taasisi itakayokiuka maagizo hayo itachukuliwa hatua zinazostahili."
#BinagoUPDATES

No comments