MWIJAKU AWEKWA MAHABUSU KISUTU"
Mwijaku alifikishwa mahakama ya KISUTU jijini Dar es salaaam kujibu maswali, kwa kosa la kusambaza PICHA za UCHI mtandaoni (Whatsap),
ashindwa kutekeleza masharti awekwa MAHABUSU.
@mwijaku
#mahakama #mwijaku #tiisheria #kuamwanifu #bingomovie #muziki #maigizo #filamu #michezo #siasa #gospel #binagomediateam #lipakodi #mzalendo #mwaminifu
.
.
.
.
#binagoupdates
##breakingnews
Post a Comment