kutana na mchungaji wa kwanza wa kichina wa kiadventista Wasabato
Ensaiklopidia ya Waadventista Wa Sabato.
.
.
.
.
Guo, Ziying (郭子颖), anayejulikana pia katika machapisho ya madhehebu ya mapema kama Keh, Nga Pit, anatambulika kama Mchungaji wa kwanza wa Kichina wa kanisa la Waadventista wa Sabato nchini China.
.
.
.
Alifanya jukumu kuu katika upanuzi wa Uadventista katika Kusini Mashariki mwa Guangdong China (廣東) na Mkoa wa Fujian (福建). Kabla ya kupokea Imani hii Alikuwa ni Mkuu wa Chuo cha Theolojia cha Madhehebu ya Presbyterian, Marafiki zake na wenzake walijaribu kumshawishi asifanye hivyo, lakini hakufanikiwa. Mkewe na binti yake walimsihi kwa machozi kwani walidhani kwamba ingeleta aibu kwa familia. Lakini akili ya Guo Ilishaamua. Mara baada ya kukubali imani yake mpya, Guo aliamua kujiuzulu nafasi yake ya Ukuu wa Chuo. Baada ya kujiuzulu nafasi yake, alinunua kanisa dogo karibu naye na akashiriki imani yake mpya na jamii yake.
.
.
.
.
Sasa unaweza kupata Historianya kanisa La waadventista Wa Sabato kutoka katika tovoti ya Encyclopedia of Seventh Day Adventist

Usisahau ku subscribe YouTube channel yetu ya BinagoTv
Post a Comment