Hii ni ya muda kidogo,wakati hata mkuu wa nchi ya Italy kutangaza lockdown,kwenye kujikinga na Corona,watoto ktk makanisa la Katoliki nchini Italy walibatizwa kwa Binduki ya Maji!😁!niishie hapo!
Swali je ni sawa kubatiza mtoto?(ambaye hata hajui dhambi ni nini)
Pia,je ni sawa kutumia Binduki ya Maji ktk kubatiza?
Mimi napita tu! 👣
Swali je ni sawa kubatiza mtoto?(ambaye hata hajui dhambi ni nini)
Pia,je ni sawa kutumia Binduki ya Maji ktk kubatiza?
Mimi napita tu! 👣

0 Comments