Eti ukifa leo paaap unaenda Mbinguni???
Ufunuo:14.13
Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
Hakika ni vyema pale ambapo maisha ya dunia hii yanasombwa na mauti hakikisha una cha kujibu hata katika swali kuwa *Je maisha yako baada ya dunia hii katika kifo utaishia wapi?*
Usisahau kuomba Mungu atuepushe na Corona!🙏

Post a Comment