Twende na fasheni za nguo!lakini kwa kiasi!
Hii ni kwa wadada na mama zetu,fasheni inabadilika sawa,na ni vizuri kuendana nayo,lakini tuwe na kiasi,tusimkosee Mungu wetu!mavazi yetu yasifanye wakaka na wababa kutenda dhambi kwa kutamani, kuzini na Anasa!Kama tunavyopaheshimu kanisani kwa kuvaa mavazi ya heshima ,pia tukiwa nje tuvae hivyo hivyo!
KWANI MUNGU ULIYEMUHESHIMU KANISANI ANATAWALA POTE HADI NJE,YANI MANYUMBANI,MAKAZINI,MASOKONI NA KWENYE VIWANJA VYA MICHEZO NA STAREHE!
BARIKIWA!
KWANI MUNGU ULIYEMUHESHIMU KANISANI ANATAWALA POTE HADI NJE,YANI MANYUMBANI,MAKAZINI,MASOKONI NA KWENYE VIWANJA VYA MICHEZO NA STAREHE!
BARIKIWA!
Post a Comment