Harusi vipi na hii Corona??????

Hataree, watu 5 tu wanaruhusiwa uko England  ,ambao ni Mchungaji,bwana na bi Harusi,mzazi mmoja upande wa bwana na mmoja upande wa bi harusi!

IMEISHA HIYO.

CIVOD 19,KAZI IPO! MUNGU TUREHEMU,.Amen.

No comments