Christina Shusho"Unapojistiri vizuri,ndio unavutia zaidi "
Siri moja nayopenda kuwaambia wadada ni kuwa, kadri unavyoficha mwili wako ndio unavutia zaidi na kufanya watu wakutamani. Maana siku zote mtu anatafuta kile kisichoonekana lakini unapokuwa tayari umevaa nguo za ajabu unaondoa hiyo thamani. Maana hakuna mwanaume ambaye anataka kuokota kimgomba tu kiko hapo au kijitu tu. Hata kama akija leo na unavaa nguo za ajabu atakuwa anakudanganya tu lakini in reality akiwa anamaanisha ataenda kwa wale wanaojihifadhi vizuri" - Christina Shusho
Post a Comment