je kutubu na kuomba msamaha kwa padri ni sawa?

Amkeni Amkeni Wakristo

kumbuka maandiko yanasema kuwa Yesu pekee ndiye mwenye uweza wa kusamehe ,Mathayo 28;18, sababu kubwa ni kwamba yeye alizaliwa na mpaka kufa hakuwa na dhambi yeyote

Sasa inakuweje mtu mwenye dhambi kama sisi waumini hawe anasamehe dhambi sisi wadhambi?

kumb.Yesu pekee ndio mwenye uwezo wa kusamehe dhambi kama alivyo msamehe yule aliyepooza Marko 2;5

pia Mungu kaweka utimilifu wake wote kwa Yesu na sio Papa Wakolosai 2;9

Barikiwa Sana.


No comments