Video;Sheikh akitoa ushuhuda kanisani

Hakika Neno la Mungu ni la Kweli na haki ndani yake!
Sheikh huyu pamoja na baadhi ya wafuasi wake(wanafunzi),walifika kanisani na kutoa maneno yaliyo hakisi Kitabu kitakatifu cha Quran na Biblia,;
kuwa "Nabii Issa ndiye Yesu Kristo,na Yesu Kristo ndiye mkombozi wetu sote katika siku hile ya Mwisho!"Alisema hayo  Sheikh katika ibada!.

No comments