Papa Francis asikitishwa na mauaji Ukanda wa Gaza

Kiongozi wa kanisa katoliki ulimwenguni Papa Francis afahamisha kusikitishwa na mauaji ya Ukanda wa Gaza na kutoa wito wa mazungumzo bain aya Palestina na Israel.
Papa Francis ametoa wito wa kusitisha ghasia na mauaji katika mji mtakataifa ambao kitovu cha imani ulimwenguni.
Kiongozi wa kanisa katoliki ulimwenguni ameyazungumza hayo Jumatatu akiashiria wapalestina waliouawa na jeshi la Israel katika maandamano ya amani Ukanda wa Gaza. Jeshi la Israel lilitumia risasi za moto kuwatawanya waandamanaji na kusababisha maafa.
Taarifa kuhusu amani na utulivu katika ardhi takatifu ilitolewa na tovuti ya « Vatican News » Jumatano.
Post a Comment