Mbasha atoa onyo kali kwa Madam Flora,anasema kuwa anaweza kuenda hata mahakamani kwa ajili ya haki yake ya kumuona mtoto wake.

Staa wa mziki wa gospel,mbasha ameonekana akiweka posti katka ukurasa wake wa insta,na kuonesha kuwa amenyimwa nafasi ya kumuona mtoto wake ,yani tangu aachane na mwenzie Madam Flora hajawahi kumuona mtoto wake,na nafasi hiyo Madam anamnyima mbasha,.Mbasha anatoa onyo na usemi wa mwisho kuwa ni bora tu amruhusu tu,kwani ni haki yake pia!

No comments