hii hapa historia fupi ya Nabii Shillah,anaetoa pesa kwa waumuni/watu
Nabii Shillah,maharufu kabisa kwa kuwa ni mtoaji wa pesa kwa wahumini wake,wahitaji na wengineo wa barabarani,.
Nabii huyo anaepatikana Morogoro
Amezidi kuonesha kuwa ingawa
Watu wengine wanaweza kumuona kuwa ni muhuni eti kutokana na mavazi yake au utofauti wake na manabii wa watumishi wa Mungu wengine,lakini yeye anadai kuwa ndivyo alivyoamua na ndivyo alivyo agizwa awe,lakini pia asema kutoa pesa sio kwamba anataka umaharufu bali ni upendo anaouonesha kwa waumini na watu wote wenye shida!
Nabii Shillah anasema kuwa yeye abagui watu katika kanisa lake,yani ktk itikadi za dini,kuwa huyu ni mwislam au mpendekoste,sijui huyu ni msabato,yeye wote wenye shida ya maombi,injili na mafundisho yeye anatoa bure na pia huduma mbali mbali kama vile chakula utapata pale bure pamoja na usafiri!
Kanisa lake linaitwa kanisa la Bethel international ministry of Tanzania!
Hayo ni maelezo mafupi juu ya Nabii huyo kijana kabisa,na anaetoa pesa kwa waumuni wake,na alisema kuwa anatoa hili kuonesha kuwa haziitaji sadaka za watu,bali hizo sadaka ni mali ya Bwana Yesu Kristo!

Post a Comment