Ni headlines za Miso Misondo ambae umaarufu wake ameupata baada ya kuwa na ubunifu wa tofauti hususani kupitia muziki wa Singeli, sasa time hii amekutana na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete huko kijijini Msoga.
Post a Comment