🚨 TUZO ZA CAF 2023
Mchezaji bora wa Kiume
◉ Victor Osimhen 🇳🇬
Mchezaji bora wa Kike
◉ Asisat Oshoala 🇳🇬
Mchezaji bora wa mwaka wa klabu za ndani
◉ Percy Tau 🇿🇦
Kocha bora wa mwaka Africa
◉ Walid Regragui - Morocco 🇲🇦
Golikipa bora wa Africa
◉ Yassine Bounou 🇲🇦
Timu ya Taifa bora ya mwaka
◉ Morocco 🇲🇦
Timu bora ya taifa ya mwaka kwa wanawake
◉ Nigeria 🇳🇬
Klabu bora ya Mwaka Africa
◉ Al-Ahly Cairo 🇪🇬
Timu bora ya mwaka kwa Wanawake
◉ Mamelodi Sundowns FC 🇿🇦
Bao bora la mwaka
◉ Mahmoud Kahraba - Al-Ahly 🇪🇬
Mchezaji bora Chipukizi
◉ Lamine Camara 🇸🇳
Post a Comment