🛑Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Simba imejitoa kwenye mbio za kuitaka kuipata saini ya Kocha Julien Chevalier wa ASEC Mimosas ili kurithi mikoba ya Robertinho.
🛑Simba imejitoa kwenye mbio hizo kwakuwa Julien Chevalier ni kocha ambaye anahusudu sana project, inatajwa Wekundu wa Msimbazi hawako tayari kusubiri zaidi.


0 Comments