Simba wanadondosha points mbili !
Simba wanadondosha points mbili !
1. 👕 20 🅿️ 55 ⚽ 29 = Simba sc
2. 👕 20 🅿️ 43 ⚽ 16 = Simba sc
3. 👕 22 🅿️ 30 ⚽ 05 = Namungo
Full 🕡 Namungo 2 - 2 Simba sc
08' 🕡 Jacob Masawe ⚽
54' 🕡 Obrey Chirwa ⚽
60' 🕡 Obrey Chirwa ⚽❎
90' + 2 🕡 Manyanya red card ♦️
42' 🕡 Shomari Kapombe ⚽
78' 🕡 Kibu Denis ⚽
"Tumenyimwa goli halali, mwamuzi ndiye aliyesababisha tusieondoke na point tatu. Kama sio mwamuzi tungeshinda"
🔍 Kocha mkuu wa Namungo - Jamhuri Kiwelo Julio
Post a Comment