Advertisement

Responsive Advertisement

NANDY; NIMEAMUA KUPOST PICHA MAKUSUDI

Nandy amewachana waliyomshambulia baada ya
kuposti picha halisi bila vipodozi (make up).

"Nimepost picha makusudi tu uone Wanawake Walivyo Wachawi Utasikia Kumbe Ndio Ulivyo hivo kama hawakujui vile ndio picha ya kwanza wameona"

"Tafuteni hela unatakiwa useme kumbe ndo hela ulizo nazo hizo unani judge sura upuuzi mtupu mademu bhana me ni bora niwe mbaya ila niwe na hela ya chai" amesema Nandy kwenye Insta
Story yake.

Post a Comment

0 Comments