la Mwanza.
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe amelazimika kukatisha siku za Maombolezo ya Msiba wa Kaka yake Kijijini kwao Machame Moshi na ataelekea Jijini Mwanza Kwa ajili ya kushirikiana na Watanzania wote katika
kuhakikisha kuwa Haki ya kukusanyika na kujadiliana inapatikana Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi.
Mwenyekiti wa Taifa Mhe.Freeman Mbowe atazungumza na Taifa akiwa Jijini Mwanza kesho tarehe 19 Julai,2021 saa tano kamili asubuhi .
Kwa hatua ya sasa Chama kinalaani vikali hatua ya Jeshi la Polisi ya kuwakamata na kuendelea kuwashikilia Watanzania hawa ambao kimsingi hakuna kosa lolote ambalo wamefanya Kwa mujibu wa Sheria zetu .
Tamko rasmi la mwelekeo na hatua ambazo Chama kitachukua zitatangazwa na Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe kesho jumatatu Jijini Mwanza .
Tamko rasmi la mwelekeo na hatua ambazo Chama kitachukua zitatangazwa na Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe kesho jumatatu Jijini Mwanza .
0 Comments