KAMATI YAKATAA ONGEZEKO LA USHURU KWENYE MIKATE
Kamati ya Fedha na Mipango ya Bunge la Kitaifa Nchini Kenya imekataa mapendekezo ya kutoza ushuru wa asilimia 16 ya ongezeko la thamani (VAT) kwa mkate.
Katika ripoti ya Muswada wa Fedha wa 2021, kamati hiyo pia imekataa mipango ya kukagua ushuru wa pikipiki na vile vile mapendekezo ya kutoza ushuru kwa mapato ya riba.
Post a Comment