ANTONY MVUNDE APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA NA DAWA

Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Antony Mvunde akipokea msaada wa vifaa tiba na madawa kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Umma (PSSSF) Ndg. Hosea Kashimba kwa ajili ya wakina mama wajawazito na kitengo cha matibabu ya meno katika kituo cha Afya Makole Jijini Dodoma.

Msaada wa madawa na vifaa tiba hivyo vina thamani ya Tsh 2,500,000 ikiwa ni mchango wa Taasisi hiyo kuboresha huduma za Afya Jijini Dodoma.

No comments