PICHA YA PAMOJA JNICC DSM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume wakiwa kwenye ukumbi wa JNICC kuhudhuria Uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi, jijini Dar Es Salaam Leo.
Post a Comment