YES timu haijafuzu fainali
YES goli moja ndio lilikuwa pungufu
YES nafasi hazikutumiwa
Lakini kitu kimoja Didier Gomes Da Rosa atajivunia ni wachezaji wake kujali thamani ya jezi . Ndio mchezo wa mpira wa miguu utafunga magoli na kukosa magoli ...kocha yoyote Duniani anaweza kukubali kichapo kama wachezaji wake walifanya kila kitu kwa kujituma bali magoli ndio yalikosekana .
FOOTBALL ina furaha na huzuni . Ngumu kumeza lakini ukiwa mwanamichezo unasema ( Hongereza KAIZER CHIEFS kwa kusonga mbele . ) See you next time .
NOTE
Kwa mashabiki wasijaribu kunyoosha vidole kwa wachezaji kwa lawama . Wote pale walitaka kuwapa furaha lakini imeshindikana . Magoli 4 yalikuwa mengi lakini wamejaribu

0 Comments