ABDULLAH MWINYI JNICC DSM

Mtoto wa Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi, Abdullah Mwinyi akisoma salumu za Shukrani kwa niaba ya Baba ake kwenye Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi kinachoitwa Mzee Rukhsa katika ukumbi wa JNICC jijini Dar Es Salaam leo.

No comments