"Watuachie mechi zetu wasituingilie sisi tunahitaji kushinda michezo yetu kwa kila mchezo na kwa hali ya kawaida Klabu moja ikienda kuwaambia shindeni mechi fulani hiyo ni upangaji wa matokeo Simba watuache sisi tuna nguvu ya kushinda michezo yetu wenyewe," Zaka Zakazi
Post a Comment