Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini na Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu akipokea sehemu ya sadaka ya futari iliyotolewa na taasisi ya Doris Mollel ikishirikiana na Shirika la Uratibu wa Maendeleo la Uturuki katika hafla fupi iliyofanyia jana Jumamosi Aprili 24, 2021 jijini Tanga.
0 Comments