Tunatoa pole kwa mchezaji wetu, Taddeo Lwanga kwa kufiwa na dada yake Agnes Nakityo, pia tunasikitika kwamba hatakuwepo kwenye mchezo wa kesho.
Mazishi yatafanyika kesho Jumamosi Aprili 24, 2021 kwenye kijiji cha Ndejje Kanyanya Zone kilichopo mjini Wakiso, Uganda. Tunawaomba Watanzania na Wanasimba mliopo karibu na mji huo kuungana na familia ya Taddeo kushiriki mazishi hayo.
0 Comments