Advertisement

Responsive Advertisement

MCHEZAJI WA ZAMANI WA BIASHARA UNITED SOSPETER MAIGA MANDALA AFARIKI DUNIA

Klabu ya BIASHARA UNITED MARA imepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mchezaji wetu wa zamani BW. Sospeter Maiga Mandala

Hili ni pigo kwa familia ya mpira wa miguu, tunaungana na mashabiki wa Biashara United Mara familia ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu.

Tunaomba Mwenyezi Mungu awape subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu na ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Ameen

Post a Comment

0 Comments