Advertisement

Responsive Advertisement

MANENO YA MAKOCHA TOFAUTI TOFAUTI KUIHUSU SIMBA SC

🗣 "Simba ndio timu bora Tanzania" Badru kocha Gwambina

🗣 "Simba wakiendelea hivi wanabeba tena ubingwa" Baraza - Kocha Kagera

🗣 "Simba ni miongoni mwa timu bora Afrika" Kifaru Msemaji Mtibwa

🗣 "Simba wanacheza soka safi. Ni timu ngumu na hatari sana" Mosimane - Kocha Alhy

Post a Comment

0 Comments