Kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa na Profesa Stavinos Stavrianes wa Chuo Kikuu cha Willamette, juu ya kwanini wachezaji wafupi ni bora sana
Akichukulia mfano wa Diego Maradona, Pele, Xavi Hernandez, Andres Iniesta, Lionel Messi na Eden Hazard
Aligundua kuwa Wachezaji wafupi wana QUICKER STEPPING PATTERN, inawasaidia kubadili mwelekeo kirahisi sana, kuwa na kasi sana pia uwezo mkubwa kwa kucontrol mpira kutokana na vidole vya miguuni
Kwenye balance ya mwili kuna uhusiano mkubwa kati ya mikono na miguu, lakini pia GRAVITY DEFINERS yaani wamebalance vizuri na nguvu ya ukinzani wa dunia
Kwani kuna ubaya gani kwenye tafiti hiyo tukamuweka na LUIS MIQUISSONE? 😎
0 Comments