Advertisement

Responsive Advertisement

DITRAM NCHIMBI: NIMEFURAHI NIMEFUNGA NILISEMA SIKU CHACHE NYUMA KUWA NTAFUNGA NA KWELI NIMETIMIZA AHADI

"Nimefurahi nimefunga. Nilisema siku chache nyuma kuwa nitafunga na kweli l nimetimiza ahadi, unajua siyo kwenye mpira, hata kwenye maisha kuna changamoto nyingi na watu watakusema sana, lakini unapaswa kuchukulia kama changamoto na kuifanyia kazi. Ndiyo maana mimi pamoja na watu kunisema sana, lakini sikuhamanika,"

Ditram Nchimbi
Mshambuliaji wa Yanga SC

Post a Comment

0 Comments