NYUKI WAVAMIA MSIBA

Ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Daudi Mohamed wakazi wa kata ya Kileleni wilayani Handeni mkoani Tanga wametimua mbio na kuacha jeneza lenye mwili wake baada ya eneo la makaburi kuvamiwa na nyukiTukio hilo limetokea jana, na hadi saa 11 jioni mazishi yalikuwa hayajafanyika.
#BinagoUPDATES

No comments