BAADHI YA WAUMINI WA KANISA KATOLIKI WAKIPAKWA MAJIVU KATIKA PAJI LA USO

#PICHA Baadhi ya waumini wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, St.Theresia wa Mtoto Yesu,wakipakwa majivu katika paji la uso katika adhimisho la ibada ya jumatano ya majivu asubuhi hii,ikiwa kama ishara ya kuwakumbusha wakristo kuwa mwili wa mwanadamu u katika hali ya uharibifu na ukomo,na ndio mwanzo wa kipindi chá kwaresima ambacho huanza kwa ibada ya jumatano ya majivu na hudumu kwa muda wa siku 40.
#BinagoUPDATES 

No comments