RUVU SHOOTING: SISI KAZI KAZI, MASAU BWIRE YEYE KUONGEA TU
"Maneno ya kujisifu ya Masau Bwire wala hayatupi hofu sisi tukiingia uwanjani kazi yetu ni kucheza iwe Simba, Yanga au Azam kwetu wote sawa," Mshambuliaji wa Ruvu Shooting, Abdulrahman Mussa.
#BinagoUPDATES
Post a Comment