usikose ibada ya leo"sabato njema kwako"
Watu 74 Wabatizwa Jumamosi iliyopita Majimoto Katavi katika Mikutano ya Heri Asomaye inayo Endeshwa na Idara ya Mawasiliano Union ya Kusini mwa Tanzania Kwa kushirikiana na Vyombo vya Habari vya waadventista Wa Sabato Tanzania(TAMC). MIKUTANO HII ILIANZA 15/08/2020 NA ITAMALIZIKA Leo 29/08/2020.🙏
Barikiwa na Sabato njema kwako!
Ke Una taarifa ya kusisimua kuhusu dini unataka tuchapishe,tafadhali tuma kupitia whatspp +255759701713
Post a Comment