Mambo hatarishi kwa maisha yako
Hizi ndio ajali mbaya kuliko zote hapa Duniani, japo wengi huziona za kawaida tu, omba usikutane nazo kabisa!
1. Kuvunjika Moyo wa Kusali
2.Kutoroka Meza ya BWANA
3.Kutohudhuria Ibada
4.Kutosoma BIBLIA
5.Kuishi bila MAOMBI
6.Kuchelewa KANISANI na MIKUTANO ya Kiroho
7.Kumwibia ZAKA MUNGU
8.Kuvunja Amri za Mungu
9.Kukosa Upendo
10.Kubwa zaidi ya yote Kutokua na Roho ya Kusamehe. Muombe Mungu akuepushe mbali na ajali hizo. Share/tuma ujumbe huu kwa watu wasiopungua kumi kwa kubofya hapa chini 👇
Post a Comment